JamiiForums game of the year

Mmh! Huo mchezo siuwezi. Swahiba nimekuja kukusalimia. Nimekumiss wewe tu.
 
mshindi arumeru si nassari?
 


Kamanda haya maneno mbona unatumia sana nguvu?
Wewe unaeshikilia kuvaa pamba aina moja ndio rahis kukutoa mshipa!
Eti mkeo. Kwani mke nini? Huyo huyo ndio poa namega then akiridi
unazama chumvini kula masalia ya shabhan.
 
Wote tunajitahidi kufanya game liende vizuri ila shemeji Judgment na mwenzie sijui shabhan wanachakachua.
wanachakachua wakijipa matumaini kuwa watakimbia na zawadi kama wanavyokimbiaga na maboks ya kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…