mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
mpenzi wako anakusubiri nyumbani we chapombe Katavi , embu leo wahi kurudi nyumbani usipite pale kwenye ulabu,:eek2:Samli kijiwe ndio wapi mpenzi??
Kula kila wakati hakupendezi kulisababisha binti mmoja niliye kuwa ni mekaa naye seat moja kwenye bus akapumua mpaka nika hama seat lakini baadae nili rudi maana alikuwa ni mrembo[/QU mrembo kupumua kweny gari! Tenah hadi watu wengine wajue! Aibu kwel! Ajahjahjahja!
mrembo mithili ya miss tz, bac huyo lazima hajatulia
hajatulia huyu demu ni mapepe,
mapepe yake umeyajuaje nawe hujawahi kumuona?
kumuona kwa mara ya kwanza akanikaribisha na mishuzi!
mishuzi ndio nini?...waswahili mna mbwembwe!
jf ni zaidi ya chombo cha habari kwani kila habari unaipata hadi mpenzi wangu anasema wako wawili yeye na jf nikajiuliza amejuaje kule love conect nilisha tuma maombi?Mbwembwe kama wana jf.
maombi? unaomba nini?jf ni zaidi ya chombo cha habari kwani kila habari unaipata hadi mpenzi wangu anasema wako wawili yeye na jf nikajiuliza amejuaje kule love conect nilisha tuma maombi?
nini kilichofanya ujiunge jf mbona kuna blog nyingi tz.maombi? unaomba nini?
tz ni nchi ya amaninini kilichofanya ujiunge jf mbona kuna blog nyingi tz.
tz ni nchi ya amani
Amani wapi kila kukicha watu wana uwawa bila hatia:
Hatia wanayo hao wanaotupeleka mabwepande!
Hatia wanayo hao wanaotupeleka mabwepande!