JamiiForums game of the year

Majambawazi tena?? Magamba kumbe wana majina mengi namna hiyo...!!

Hiyo ni namna ya kumwita jambazi aina ya CCM; kwani wao wanajamb* wazi bila aibu kwa kuwa wameshiba keki ya wizi kutoka kwa watanzania.
 
Zitawageuka subiri tu muda utafika mahakama zitakuwa za uma sio za kikundi cha watu wachache!
 
Picha zanini wakati hata zikiwekwa hutoziamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…