JamiiForums game of the year

Tunaonewa sana kumbe pay ya maticha ni kiduchu hivyo,
jamani kumbe wanafanya kazi ya kujitolea tu, Mungu wangu sijaamini masikio yangu.

Masikio yako hayajasikia vibaya, ndio hivyohivyo mgomo ni batili.
 
Haki zao ni zipi? Halafu ruttashobolwa i advice you to follow the rule of the game. Unatuvurugia mtiririko.

mtiririko? Ama kweli mafisad wangekuwa wana ng'ang'ania pesa kama nyie mnavyo ng'ang'ania hiri game wangetumaliza
 
Last edited by a moderator:
Wangetumaliza? Watumalize mara ngapi, sijui rules gani ana ziongelea mr bombu?

mtiririko? Ama kweli mafisad wangekuwa wana ng'ang'ania pesa kama nyie mnavyo ng'ang'ania hiri game wangetumaliza
 
Wapi? Wakati nipo humu nakuona unavyo katiza watu wana kutolea macho na hicho kimini

Kimini chenyewe kinapanda juu kila akitembea nashangaa anahangaika kukishusha. By the way naona ruttashobolwa sasa umelielewa game hili. Twende kazi sasa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…