nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 363
Maji yalivyo adimu, kama jangwani la Sahara
We acha masihara,pale kuna maji yanapatikana ktk oasis,ushasikia kuna vita ya maji inakuja au unatoa toa macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji yalivyo adimu, kama jangwani la Sahara
We acha masihara,pale kuna maji yanapatikana ktk oasis,ushasikia kuna vita ya maji inakuja au unatoa toa macho
Nini huko? Njooni muone maajabu ya migomo!
Migomo yenyewe hatuoni matunda yake. Yaani haimtikisi kabisa m.kw.ere
hukumu imetolewa na walimu wameambiwa mgomo ni batili.****** jana katoa hukumu lakini bado wakaenda mahakamani kusikiliza hukumuss
batili wapi, wanaonewa tuhukumu imetolewa na walimu wameambiwa mgomo ni batili.
batili wapi, wanaonewa tu
Tunaonewa sana kumbe pay ya maticha ni kiduchu hivyo,
jamani kumbe wanafanya kazi ya kujitolea tu, Mungu wangu sijaamini masikio yangu.
mgomo ni batili wapi wakati walifuata taratibu zote ni uonevu tu
Tulipofikia watu wata ingia msituni kuanza kujifua hili kupigania haki zao
Haki zao ni zipi? Halafu ruttashobolwa i advice you to follow the rule of the game. Unatuvurugia mtiririko.
mtiririko? Ama kweli mafisad wangekuwa wana ng'ang'ania pesa kama nyie mnavyo ng'ang'ania hiri game wangetumaliza
Wapi? Wakati nipo humu nakuona unavyo katiza watu wana kutolea macho na hicho kimini
Sasa hapo ndo umeona umeandika mapooooiiiinti Khaa!Kimini chenyewe kinapanda juu kila akitembea nashangaa anahangaika kukishusha. By the way naona ruttashobolwa sasa umelielewa game hili. Twende kazi sasa
mapoint ya ukweli kazimika kwa aliyevaa kiimini tiririka....