JamiiForums game of the year

Eeh, futari nyingine ni za kuunga uunga hadi mama mwenye nyumba apige kengele
ndo mkajipange hapo utakuwa na mamlaka gani ya kupanga muda wa futari.

Tena? Unapenda kuongezwa eeh!
 
Eeh, futari nyingine ni za kuunga uunga hadi mama mwenye nyumba apige kengele
ndo mkajipange hapo utakuwa na mamlaka gani ya kupanga muda wa futari.

Futari huku mtaani kwetu hatujui inafuturiwa saa ngapi. Sijawahi kuona mikeka nje, au siku hizi watu wanafutaria ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…