JamiiForums game of the year

wanaandika vitu visivyo na maana Kiboko Yenu ! Ili mradi tu game liendelee.
Amua tu mshindi data
 
Last edited by a moderator:
poo!
...................................................
Kuna mchangiaji anaitwa Bombu amekosea na amedhihirisha alifeli la saba kihalali.

By Katavi:
EPA bado inasumbua tu....!!

Bombu:
inasumbua sana, ila kwa sasa ushindi ni bayana.

Katavi alimaliza na TU...ila Bombu akaja anzia neno la pili toka mwisho ambalo ni Inasumbua...

Naomba mwongozo
 

mwongozo wa meli au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…