aah nisiamini vipi sasa wakati mifano ipo kibao, hata hilo la kwako si lilianza hivyo hivyo limeota mizizi na kukomaa mpaka umelikubali siku hizi unaitika tu ..
tunaomba masharti na vigezo ya huu mchezo yazingatiwe ili mshindi apatikane ki halali.
Ki halali wewe Ruttashobolwa utakuwa mshindi kwa kuwa wewe umekubuhu kwenye fani ya sheria
hapa jamvini hakuna zaidi yako.
Hakuna zaidi yako Mamndenyi. Kumbe hata huku upo pia? hahahaha. Umemuona rafiki yako AshaDii karudi?
madini mgodini ndo asili yake na kwenye segment hii tayar uko mgodin ukishaanza kusoma hapa bac haina haja kumtafuta bingwa. Adiooos.!
Mzima sana si unaona kaja na maujanja ya lugha ya enzi zetu.
Mzima sana si unaona kaja na maujanja ya lugha ya enzi zetu.
zetu katika nafsi ya umoja utasemaje?..
Utasemaje wewe wakati kasema yeye?
Yeye kasema zetu kwa nafsi ya umoja utasemaje, kwa lugha yetu ya zamani zetu ni nafsi ya kwanza wingi,
zangu ni nafsi ya kwanza umoja.
Yeye kasema zetu kwa nafsi ya umoja utasemaje, kwa lugha yetu ya zamani zetu ni nafsi ya kwanza wingi,
zangu ni nafsi ya kwanza umoja.
Nyumba ya nani tena,!??? mnaongflea za madale?
Madale?
Kule kwenye vumbi jekundu kama tuko Karatu?
Karatu nilipapenda sana wakati nasoma pale udongo ulikuwa na rutuba sana
nakumbuka tulikuwa tunalima bustani na tulikuwa na mashamba makuba sana ya ngano na mahindi,
utaweza kusema siyo tanzania ya leo.