Kitanda chenyewe kiwe cha kwako mwenyewe.Noma pale unapomfuma demu wako na Man mwingine juu ya Kitanda.
Kitanda chenyewe kiwe cha kwako mwenyewe.
Mwenyewe umekinunua kwa gharama afu anakuja Ngumbaru kutia jasho lake.
lake tena jasho ka lakuku
Kuku kapanda baskeli,bata kavaa Raizoni.
Maana yake nini?
Nini kimewakuta madaktari hadi wamwangukie mkulu. Au ndo fumbo mfumbie mjinga?
Mjinga tu ndiye atakayeweza kuelewa!
Tatizo lao wengi ni wasaliti.Kuelewa Kwao yategemea na Ukubwa wa Tatizo.
wasaliti mbona kila mahali wapo tuTatizo lao wengi ni wasaliti.
huku wapi sasa?wapo hata kwetu huku
huku wapi sasa?
wa mwisho kwenye nini?Sasa mimi si ndiyo wa mwisho!
nini tena? Yaani hujui huyo anataka ushindi kwa nguvu?wa mwisho kwenye nini?
shaka langu ni kwamba hili game halitaisha... tumuombe tu KY aje atangaze mshindi
Mshindi ni mimi leo