JamiiForums game of the year

ndio mana ziwa limeharibika tokana ana huyo mama mwenyeziwa ambaye hafuniki ziwa mpaka kiama cha radi za mashambulizi zitokee
Pale kwenye ziwa pametulia, si unajua mama mwenye nyumba ana mradi kule kwa yule mama mwenye ziwa?
 
ulifikiria nini kutoa komedi ya aina hii hapa jamani yaani inatuacha hoi sana nami nimeipenda just its game ya aina yake
 
Malaria haikubaliki lala na chandarua wewe
😀.

Chandarua nini wewe.

Kuna baadhi ya Mbu wanapitisha Sindano zao ukijipendekeza karibu yao pamoja umo ndani ya Chandarua.

Unastukia Nywiiiii
 
😀.

Chandarua nini wewe.

Kuna baadhi ya Mbu wanapitisha Sindano zao ukijipendekeza karibu yao pamoja umo ndani ya Chandarua.

Unastukia Nywiiiii
Game umeikosea.
Unaanza na neno la mwisho ambalo ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…