JamiiForums game of the year

Mizigo mikubwa huwa naipenda sana
Sana sana ile Mizigo iliyojazia kiukweli.

Sikuwa nafahamu, kumbe wewe ni Mzee wa Mizigo.

Bab kubwa, si unajua kila mmoja anakuwa na mizuka yake.

Wengine mizuka yao nyuma kuwa kumefungasha.

Wengine mizuka yao wale wa wastani.

Wengine mizuka yao Kijungu kiwe cha kiushkaji
 
ha ha ha ha ha

si kwakunikumbusha huu uzi.

Waha nasikia wako vizuri kwenye kukojolesha.

Mzima lakini, nimekumiss.
Nimekumiss pia.

Niambie Remmy, dah!!!......enzi zetu zileeeeee.
Umepotelea wapi jamani?
Nimewamiss wakongwe wenzangu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…