JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
311
Reaction score
66
TUCHEZE GAME LINAITWA The last
man standing. Yani unatuma
comment kisha anaefuata
anaanza na neno ulilomalizia. Kwa
mfano: mtu akiandika, natamani
kwenda mikumi anayefuata
aanze na mikumi mf. mikumi ni
tour inayofuata alaf inayofuata
kuenjoy maisha inayofuata maisha hayana mwenyewe n.k. OK LET US
PLAY Atakaye kuwa wa mwisho
ndie atakayekuwa mshindi.
 
Mchana wote huu nimekuja mitaa fulani ina vichochoro ile mbaya.
Baada ya kuchoka saana na kutembea ili niweze fika ninapoenda
nimeona ni bora niketi hapa na kupata kinywaji kwenye banda fulani
la vinywaji maarufu kama Kioski... Ghafla dio natambua kua
Nimeketi karibu na kaka ambae nahisi ni tapeli....
 
Tapeli mwingine yuko kushoto kwako
Kafunga kilembe ana anavuta fegi
Huyo anayejidai kusoma gazeti.
 
Ban hapa Jf ni kitu nisichokitaraji kwa kua najua muda wa kuwinda na wapi pa kushambulia !
 
Kushambulia waendao kinyume na rules za Jf hicho kitakua kitu nisichokiacha kamwe !
 
mtupu! Hakuna jambo lolote la maana waliloandika humo ndani zaidi ya umbea na uzushi.
uzushi wenyewe unasema eti wema karudiana na diamond, na ukurasa unaofuata unasema eti siyoi ajiunga na Chadema baada ya kushindwa uchaguzi
 
uzushi wenyewe unasema eti wema karudiana na diamond, na ukurasa unaofuata unasema eti siyoi ajiunga na Chadema baada ya kushindwa uchaguzi

Uchaguzi wa Arumeru ushakwisha sasa tuangalie ya mbele.
 
Back
Top Bottom