sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
kitu gani Katavi ....mbona hueleweki??Nini? Nipe maana ya buc, kumbe sijui nini kweli hujui kitu.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitu gani Katavi ....mbona hueleweki??Nini? Nipe maana ya buc, kumbe sijui nini kweli hujui kitu.
Nini? Nipe maana ya buc, kumbe sijui nini kweli hujui kitu.
Nakijua hiko kitu,ukichanganya na choklet na vanilla unapata ice-cream sijui za wapi zile ice-cream...!!
Kijino umemaliza?ice-cream za bakhresa au? Hlf Madame B hufuati utaratibu, kinachoishia sicho unachoanzia, sms yako ilitakiwa ianze na "kitu" ambalo ndilo limeishia, neno linaloishia ndio unaloanzia, nadhani tumeelewana.
tu....?
tuta langu la mchicha lilisombwa na mvua ya juzi,
halafu huku uswazi kuna tabia ya kupenda kula viboga visivyokomaa...!!
Ila majani yake hawali.
hawali kwa sababu hayaliwi
taarifa yenyewe hata sijatazama leokilichotokea ni kukimbia usiku wa manane bila kutoa taarifa
taarifa yenyewe hata sijatazama leo
Mafumbo...!! Hilo nalo fumbo, mafumbo yalikuwepo enzi zilee...
Zilee za kufunga huku na huku,katikati unaachia....??!!!
Au?
Tu Nish hakuna jingine mwaya!tu....?
mwaya hakuna jingine zaidi ya kumsubiri mshindi wa hili game