JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kifikra wananchi wanaanza kuwa juu sana hope hata wananchi wa humu wote wako sawa na ndio wanaotakiwa kuliongoza kurudumu la kuelekea kuimba wimbo huo....! wazee wa game of the year BAGAH .. YNNAH .. Remmy . Nzi . Ennie . charminglady .. Katavi .. Madame B . Raia Fulani . Kijino .. Cantalisia . Kongosho .. Nish wote nawakaribisha kufanya maandalizi ya siku hiyo ya kuimba
b52 naomba kusuply tangawizi ili sauti zisikauke! mbona hujawaweka mababu hata mmoja, sasa sauti ya 4 ataimba nani!
 
Halafu kwaya ili iwe unique kama hii,midume waimbe sauti ya kwanza na ya pili,na mabinti waimbe ya tatu na ya nne.. kazi kwa mwalimu Konnie..
 
Halafu kwaya ili iwe unique kama hii,midume waimbe sauti ya kwanza na ya pili,na mabinti waimbe ya tatu na ya nne.. kazi kwa mwalimu Konnie..
Konnie hawezi kufundisha, yeye aimbe sauti ya pili...
Mimi nitakuwa mpiga kinanda...
 
b52 naomba kusuply tangawizi ili sauti zisikauke! mbona hujawaweka mababu hata mmoja, sasa sauti ya 4 ataimba nani!

Nani kakuambia cacico kuwa sauti ya nne wanaimba mababu tu? Imekula kwenu Mzee Cacico
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom