JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

umepungua sana, wkt mwingne unashndwa kufikiria vitu vya maana unafikia tu jf. yan me wakat mwngne najichukia nlivo addicted na jf cjui nifanyeje kuepukana na hii hali. . .
Hali hii huwezi kuepukana nayo, labda kupunguza tu spidi ya kuingia JF, lakini kuepuka haiwezekani....
 
umepungua sana, wkt mwingne unashndwa kufikiria vitu vya maana unafikia tu jf. yan me wakat mwngne najichukia nlivo addicted na jf cjui nifanyeje kuepukana na hii hali. . .

Hali ilivyo huvi sasa ni mbaya......mfano mimi sasa ninakazi kibao, nikasema lazzima nichungulie jf, mwisho wa siku mambo mengine hayafanyiki.
 
haiwezekan kwa sababu nina access ya internet kwenye cm. hadi naichukia cm sasa, make ningekuwa cna access ya net kwny cm ningeweza kupunguza speed ya kuingia jf. . .
 
Filipo na mimi ntakutafta mana watu km wewe ni wachache ambao huwa hawaangalii gharama. pesa makaratasi tu. . .
 
wamisri wamemhukumu mubarak kifungo cha maisha, kwa hiyo hii sred maifunga rasmi atakayepost anakula burning.
 
Back
Top Bottom