Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Kitu Gee Cee in da hausi...kinanda inabidi uwe na vidole vyenye ujuzi wa kustroke kitu..
Duh upo we kijana?
Karibu sana kwenye game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu Gee Cee in da hausi...kinanda inabidi uwe na vidole vyenye ujuzi wa kustroke kitu..
Kidogo tena mh mbona unatutisha?
Raha ya game uingie ucheze, nimesikitika kuingia wa mwisho ingawa anayecheza mwisho ndo anafaidiMmepotezana nyinyi mliokuwepo tangu mwanzo lol game raha
vipi wewe mi niko poa kabisaMambo vipi
Kabisaaa! Yani kabisaaaa we charminglady ndo mchakachuaji orijino. Unafanya game lionekane gumu kama gemu la kwenye sita kwa sita.vibaya mno ukifika kwny hili game ukajikuta huna cha kuendeleza game, mwishowe unatoka nje ya mada kabisaaa. . . .
Sita ni spika mstaafu, walimchakachua eti wakampa uwaziri wa africa mashariki.
nchi ngapi? kwani hujui haya ngoja nianze kutaja moja nyngne watamalizia wadau. Tanzania
uko wapi?
Niko nyumbani in my beddroom, naburudika na social networking.
Social networking zinatuibia sana muda wa kufanya kazi.
Palepale wapi....!!kazi zinafanyika na kujisocialize kupo palepale
kifikra zaidi!Ubeti wa mwisho utaimbwa siku wananchi watakapokuwa huru kifikra.
Palepale wapi....!!
Tangu haya mambo ya social network kuingia nchini ufanisi wa kazi umepungua.