vina unavyo wewe javascript au wajigama bure?! kama unavyo hebu tupe mfano,
mfano niliutoa jana nilipojaribu kueleza juu ya Javascript na ushindi wake wa kujitangaza mwenyewe.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vina unavyo wewe javascript au wajigama bure?! kama unavyo hebu tupe mfano,
mwenyewe anajijua hawezi andika hata mstari mmoja wa "code" ijapokuwa anajiita javascript,mfano niliutoa jana nilipojaribu kueleza juu ya Javascript na ushindi wake wa kujitangaza mwenyewe.
@javascript haitumiki kwenye mathematics bana, embu acheni kutuzingua...mwenyewe anajijua hawezi andika hata mstari mmoja wa "code" ijapokuwa anajiita javascript,
@javascript haitumiki kwenye mathematics bana, embu acheni kutuzingua...
Kutuzingua ndio tabia yao wanadhani sisi wote ni vilaza.
unawajua..huwajui shauri yako...sie haituhusu!!vilaza wa humu ndani unawajua?
haituhusu hasa.....muhimu ni kukoment tu.
Kukomenti tu? endelea kunisafishia njia USHINDI NI WANGU!
wangu javascript ebu niandikie codes ndogo za hesabu ya kujumlisha namba mbili,
Mbili jumlisha mbili au mbili gawanya kwa mbili.......hesabu hizi za kitoto zinakushinda??
Zinakushinda je Mwalimu Katavi,
ambaye ni mwalimu mkuu wa seminari ya pale kijijini kwetu.
kwetu pazuri,hakuna malaria
shudu zake ndio lugha gani hiyo?Malaria sugu, hivi siku hizi yuko wapi? Nimezimiss shudu zake.
Hiyo uloandika wewe pia ndio lugha gani mbona hueleweki!
hueleweki weweee na wenthio coz mnang'ang'ania ushind wangu owkey endeleen kusafisha njia
Njia wanayosafisha ni ipi? Mawazo yangu yashantums mbaaliii
Mbaali wapi??
Wapi wapi bar iko kijiwe samli.