JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

utamuachaje wakati umedata kiasi kwamba hata akikwambia usile chakula unaacha kula!
 
Kula kila wakati hakupendezi kulisababisha binti mmoja niliye kuwa ni mekaa naye seat moja kwenye bus akapumua mpaka nika hama seat lakini baadae nili rudi maana alikuwa ni mrembo
 
Kula kila wakati hakupendezi kulisababisha binti mmoja niliye kuwa ni mekaa naye seat moja kwenye bus akapumua mpaka nika hama seat lakini baadae nili rudi maana alikuwa ni mrembo[/QU mrembo kupumua kweny gari! Tenah hadi watu wengine wajue! Aibu kwel! Ajahjahjahja!
 
Mbwembwe kama wana jf.
jf ni zaidi ya chombo cha habari kwani kila habari unaipata hadi mpenzi wangu anasema wako wawili yeye na jf nikajiuliza amejuaje kule love conect nilisha tuma maombi?
 
Back
Top Bottom