Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Majambazi au majambawazi?
Majambawazi tena?? Magamba kumbe wana majina mengi namna hiyo...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majambazi au majambawazi?
Majambawazi tena?? Magamba kumbe wana majina mengi namna hiyo...!!
Uchafu ni jadi ya serikali ya CCM.
CCM wanachanganyikiwa wanapo ona tundulisu anashika mike sasa kichaka chao ni mahakama.
wachache ndio watauona ufalme wa mbinguZitawageuka subiri tu muda utafika mahakama zitakuwa za uma sio za kikundi cha watu wachache!
wachache ndio watauona ufalme wa mbingu
Mbingu naitamani lakini kufa naogopa!
...Naogopa dhambi hzi nitasaidiana na nani kuzibeba?
Motoni kunatisha.
kunatisha wapi? Umejuaje wakati haujafika?
haujafika utajuaje kama kweli kuna moto?:eek2:
:eek2: moto upo,
kusoma hujui hata picha huoni?
Kasome maandiko kijana.
kijana wewe nguvu unazo lakini kujishughulisha hutaki.
Picha zanini wakati hata zikiwekwa hutoziamini?
verse ndo kwanza inaanza kwa taarifa yako...verse yako wewe ya kichina..!!!Hutoziamini mathematics hata ruttashobolwa aje na demu wake hutakaa uamini.
Madame B namaliza verse.
verse ndo kwanza inaanza kwa taarifa yako...verse yako wewe ya kichina..!!!
ya kichana wapi mbona ime simama wima kama vipi Madame B iongezee vina.
Ana bahatisha!! Ebu jaribu kuweka verse bila vina uone atavyo kufundisha