YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 972
humu wakabaji walikuwaga zamani!! sasa hivi wamebaki washangaaj!!
washangaaj!! Wanashangaa nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
humu wakabaji walikuwaga zamani!! sasa hivi wamebaki washangaaj!!
washangaaj!! Wanashangaa nini sasa?
watu wengine kama wewe hawajaeka avatar sa cjui watashangaa nini tena!!Sasa hivi wataanza kushangaa avatar za watu.
tena kitakachowashangaza kingine ni michango watakayokuwa wanaandika.watu wengine kama wewe hawajaeka avatar sa cjui watashangaa nini tena!!
data zilizopo ni kwamba mshindi ni mimi!!wanaandika vitu visivyo na maana Kiboko Yenu ! Ili mradi tu game liendelee.
Amua tu mshindi data
data zilizopo ni kwamba mshindi ni mimi!!
kidole tuuuu!!!! :A S-rap::A S-rap::A S-rap:mimi hapa bhana kama unabisha nyoosha kidole!
pia mm mwenyewe
Mwenyewe wapi wakati washindi tupo muda mrefu tumetulia tu.
Zetu kutoka wapi?
EPA bado inasumbua tu....!!Wapi?
Kwani hupajui?
zimetoka kwenye akaunti ya EPA
EPA bado inasumbua tu....!!
inasumbua sana, ila kwa sasa ushindi ni bayana
poo!
...................................................
Kuna mchangiaji anaitwa Bombu amekosea na amedhihirisha alifeli la saba kihalali.
By Katavi:
EPA bado inasumbua tu....!!
Bombu:
inasumbua sana, ila kwa sasa ushindi ni bayana.
Katavi alimaliza na TU...ila Bombu akaja anzia neno la pili toka mwisho ambalo ni Inasumbua...
Naomba mwongozo
mwongozo wa meli au
Au laa mnipe ushindi...coz no one like me