Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
π AMINAAA πMboju Kwa kusema AMINA utakua umeiruhusu hiyo pesa ikafanye kitu jumlisha katika maisha yako.
Lakini pia mwenyezi Mungu atambariki alietoa katika namna ya ajabu.
Na pia Mungu anibariki mimi kwa kukueleza hayo.
Sema AMINAAAA
Inakuwaje mtu anakuwa senior member.Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde
Wapo walioguswa na kutoa ushauri mzuri nini cha kufanya pia wapo walio kejeli ( hawakosekanagi hawa ) pia wapo walioponda badala ya kutoa maoni ya kujenga
Wakuu narudi kwenu ni hivi tumeamua wife kuanzisha biashara ya dagaa wa bukoba japo tuanze na ndoo moja au mbili kwasababu ana koneksheni kule, kwann dagaa kwanza ni mboga inayotumiwa sana mtaani tulipo pia wife akanidokeza kuwa anaweza kuwa anatembeza hasa kwenye migahawa ya mama ntilie ile midogo midogo na akapata wateja nami nikaona ni wazo zuri
Shida inakuja ni ile ile mtaji, kianzio katika kupiga hesabu mtaji na usafiri inakuja kama elfu 60 hivi na faida unaweza kutoa 40k japo sina uhakika mpaka tufanye
Mimi kwa upande wangu nitaendelea kuhangaika hapa na pale ila plan yangu ni kufungua library japo ya kawaida tu ndogo kwasababu nina esperience nayo.
Please kwa atakayeguswa au kutusupport katika mwanzo wetu huu unaweza kutuma chochote kwenye airtel money 0787414221 au kama una kitu tutapokea namaanisha unaweza kununua mzigo ukatusapoti kwa kutupa mzigo na sio pesa kama utapenda hivo.
SIMULIZI YANGU MPAKA LEO NIKO HAPA
Nitawapa simulizi kidogo ya maisha yangu wenda kuna kitu mtajifunza.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 31-35 kadiria humo, nimeoa nina watoto 4 wawili wa kike wawili wa kiume mtoto mkubwa ana miaka 8
Katika kukua kwangu mpaka najitambua (+18 ) nimejikuta katika mikono ya baba yangu mkubwa (R.IP) alishatangulia mbele ya haki na alikufa akiwa anajua simjui mama yangu hii nitailezea mbele huko kwani mma nimekuja kumuona baadaya miaka kama 20 japo upendo ni mdogo mno kulingana na yaliyotokea na sababu alizonipa niliona hazina mashiko pia hajawahi hata kwenda nyumbani kushukuru kwa kumlelea mwanaye ( nitalieleza huko mbele) baba yangu mzazi pia alishatangulia mbele za haki ( R.I P ) alinipenda sana mshua wangu
Mwaka 2002 nilibahatika kupata nafasi katika shule moja ya private hii ni baada ya jitihada za baba mkubwa na sista angu ambaye alikuwa kama mchepuko wa mwenye shule nahisi hii ndo ilinisaidia kupata nafasi pale pia nakumbuka hii kitu ilileta ugomvi mkubwa kati ya ma mkubwa na na mkubwa mama mkubwa akimlaumu na kumtolea maneno ya shombo ba mkubwa kuwa kwann kanichukua mimi wakati na yeye ana watoto.
Nilijitahidi kusoma kwa bidii sana huku nikijua maisha yangu mm ndo nitakaye yabeba. Nakumbuka ilifikia kipindi baba mkubwa yeye ndo alikuwa ananifulia unifomu zangu wakati ana watoto wakubwa tu na kipindi hicho walikuwa shule pia ingawa shule za serikali hii ni kutokana na ile ishu ya ma mkubwa kusema kuwa kwann mimi ndo nichukuliwe shule ya private ( wakuu hapa kuna kitu niwambie baba mkubwa alikuwa ni mgonjwa wa kifua kikuu yaani kukohoa mpaka unamuonea huruma na ndo kilicho muua maana dawa zimekuja hivi majuzi tu zimekuta tayari yeye kifua kisha chakazwa lakini alikuwa anainama ananifulia hadi nguo kwasababu wanae walikuwa wanagoma ikumbukwe bado nilikuwa mdogo nisingeweza kufua mwenyewe hasa uniform zikatakata )
Basi bhana nimesoma nikajitahidi darasani kufanya vizuri kiukweli darasani nilikuwa vizuri sana, hatimae mwaka 2008 nikamaliza darasa la 7, tukaanza maisha ya mtaani kwa miezi 3 huku tukisubiri matokeo ya mtihani wa darasa la 7 mungu si Yuda matokeo yakarudi nikiwa nikiwa nimefaulu kimbembe kikaanza naendaje shule kiukweli pale nyumbani kulikuwa hamna mtoto yeyote aliyewahi kwenda elimu ya sekondari hii ni kwasababu ya kipato baba mkubwa akachekecha kichwa ikabidi arudi kwa mfadhili wangu yule aliye nisomesha primary nitampa jina la Y( R.I.P ) naye alisha tangulia mbele za haki kuna watu nawamisi ila ndo maisha.
Mzee hakuwa na hiyana akasema atanipeleka kwenye shule za kata nakumbuka kipindi hicho hizi shule zilikuwa kama na miaka 3 au 4 kama sikosei zimeanza. Rasmi 2009 nikaanza kidato cha kwanza kama kawaida nikajitahidi kusoma sana huku nikisaidiwa na yale masomo ya shule za private si unajua kule mnakula msuli vyakutosha.
Basi bhana baada kama ya miezi 6 mzee akaona maendeleo yangu ni mazuri akasema inabidi anihamishe anipeleke shule za private pia ikabidi ufanyike utaratibu bhana we sijui nini kilitokea hadi wa leo sijuagi, ni hivi siku ya kwenda shule nakumbuka niliamka saa 11 asubuhi make shule ilipokuwa ilikuwa lazima nisafiri yaani kutoka wilaya x kwenda wilaya y mzee akamwambia mtoto wake ndo anichukue akaniandikishe shule na amalize taratibu zote bhana we ile tuko kwenye gari tumetoka kama lisaa limoja simu ikapigwa inabidi turudi hii sikuwahi kujua sababu ni nini, basi bhana mi nilikuwa nafata maelekezo, ikabidi turudi kitu kipya ni kuwa sikurudishwa nyumbani hapana nilipelekwa kwa mzee nikaanza kuishi kwa kijana wake hukh nikisubiri maelekezo mengine, ebwana wee mwezi wa 1 ukakata 2, huo wa 3 nao huo hapo sasa nimekuwa kama mtoto wa huyo kijana yaani nafanya kazi zote, nakumbuka nilikuwa naamka napika uji wa mke wake, chai ya watoto, nadeki nyumba, napika chakula cha mchana baada ya hapo kazi zilizobaki yaani za jioni kuna binti mmoja naye alikuwa anasaidiwa na huyo mzee na alikuwa anaishi kwa kijana wake kama mimi sasa yeye alikuwa anaenda shule asubuhi jioni ndo anarudi kwahyo kazi zote za jioni alikuwa anafanya yeye mimi kazi yangu ya jioni ilikuwa ni kuhakikisha maji hayakosekani pale japo kwa wakati ule nilichukulia kama mateso lakini vitu vimenisaidia ktk maisha yangu.
Sikumbuki vizuri ilikuwa mwezi wa ngapi ila nahisi mwezi 8 mzee alikuja pale kwa kijana wake na kumwambia kuwa kesho nijiandae naenda shule nilifurahia mno nilijiandaa hatimae nikaenda shule mazingira hayakuwa mabaya sana au mazuri sana nikakabidhiwa pale huyo kijana akaondoka sasa nimekaa pale make ilikuwa ni boarding school nakuja kugundua kuwa ni zile shule za Wale watu wanaotaka balance masomo yaani ulifeli somo fulani unataka ulirudie kwahiyo mimi pale nilipokelewa kama mwanafunzi wa Qt baada ya kuelewa sikuwa na kinyongo mimi nikasema nitakomaa ila nilikuja kugundua kwann mzee alinipeleka pale sababu kuu ni mzee aliona mbele maana kuna kipindi ilikuwa inafika sina karo narudi home ( kwa yule kijana nakaa tena kama miezi 3 ndo narudi shule hii ziwezi mlaumu mzee make mambo yake yalienda kombo kipindi hicho mpaka ikapelekea shule yake kuuzwa kwa roman catolik na hii nahisi ndio iliyomfanya mzee anafariki maana alikuwa ni mtu wa mawazo sana)
Basi bhana pamoja na purukushani zote nilifanya mtihani wa QT nikawa nimefaulu vizuri hivo mwaka 2012 nikafanya mtihani wa form 4 ikumbukwe mazingira yangu ya masomo hayakuwa mazuri sana kutokana na ukosefu wa karo hapa ilinidi niruke yaani form 3 sikuisoma niliunganisha masomo ya form 2 na 3 kwa pamoja mwaka 2012 mwaka wa historia sitamsahau yule mma alikuwa waziri wa elimu kipindi hicho aisee alichotufanyia hatutamsahau kwanza picha linakuja nimesoma kwa kuunga unga pili matokeo yanatoka mara2 japo katika yote cheti changu cha form 4 ninacho mzee wangu ( aliyenisomesha ) kipindi hicho alikuwa tayari kafilisika vibaya mno aisee asikwambie mtu kama ulishawahi kushika pesa ikachomoka aisee hii isikie kwa jirani yako mma mwantumu na sio kwako hivo nilishindwa kuendelea na masomo ingawa nilikuwa nimefaulu japo sio kivile ( hapa kuna kitu sijawambia nikiwa shule pale kulikuwa kuna somo la compyuter hivo poket money yangu nilikuwa nikilipa kwenye somo la ziada la kompyuta na nilifaulu vizuri mno na cheti cha kompyuta ninacho pia)
Rasmi baada ya kumaliza form 4 nikaanza harakati za mtaani kutafuta na kujitafuta aisee hapa ndo kuna mengi mnoo ndo nilikuja kuanza kumtafuta mama, kupelekwa polisi na mengine mengi mnoo narudi mda si mrefu kuendeleza simulizi fupi ya life langu.....
Inaendelea
Mtanisamehe mmi sio muandishi mzuri wa simulizi hivo someni hivo hivo lengo ni kujifunza
Mkuu unaongea ilimradi tu umeongea.Wangeenda shamba kufanya kilimo ingekuwa vizuri zaidi.
Wataomba mpaka lini?
Asilazimishe kuishi mjini
Sema mambo mengiWakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde

Mimba nne bahati mbaya?Mkuu naona kama hauna Experience na haya mambo ndiyo maana unasema jamaa alikurupuka kuingia kwenye ndoa.
Iko hivi huyu jamaa ni mtu mzima na ni mtoto wa kiume hivyo ni wazi back in the days kabla yakuingia kwenye ndoa alikuwa anashiriki tendo na huyo mpenzi wake(mke Kwa sasa).
Inawezekana alimpa mimba akaona hawezi mtenga wacha waoane tu ili walee pamoja, Hivyo basi kajikuta ndoani sio kwa kupanga no ni kwasababu ya matokeo ya kushiriki tendo na hawezi kutoa mimba au kumkana/kumtelekeza binti aliye na mimba yake eti kwasababu maisha magumu au hajajipata NO.
They decide to fight together that is.
Pole sana Mkuu, anza kukusanya mtaji kwa kuuza simu yako, itarudi na faida.Shida inakuja ni ile ile mtaji, kianzio katika kupiga hesabu mtaji na usafiri inakuja kama elfu 60 hivi na faida unaweza kutoa 40k japo sina uhakika mpaka tufanye
Mkeo atakukimbia akishaanza biashara sababu hautakuwa tayari kukulisha na wewe umeweka makende nyumbani
Badala yake wewe ndo uzungushe hizo dagaa na yeye akae gheto. Utakosa mke na uje uanze kujiliza hapa
ukweli mchungu huu
Sio kila kitu simu inaweza kumaliza mkuu muda mwingine kubadilishana mawazo na watu kama hivi ni faraja kubwaPole sana Mkuu, anza kukusanya mtaji kwa kuuza simu yako, itarudi na faida.
Nikweli kabisa Mkuu watoto wanateseka Sana.Mkuu hilo linafahamika sawa sio mbaya kumuoa mwanamke uliyezaa naye ila ndio upige dabodabo hadi watoto 4 wakati hela ya kula mtihani?
Huoni kuwa hapo amewaleta hao viumbe ili wateseke tu na baadae kutengeneza kizazi kingine cha umaskini
Umesoma reply yangu vizuri Mkuu?Kwanini jukumu la kupanga uzazi liwe la mke na si familia kwa ujumla?, kwani anaye dumbukiza si mwanaume kudadadeki?
Mkuu kama una mke na unaweza mrudisha kwao muda wowote basi wakwe zako wakofea sana kuna wengine yaani wakiona mtoto wao kakaa wiki mbili ataulizwa kama kuna tatizo na hili sioni kama ni jambo baya matatizo hayakimbiwi ndo maana sijawahi kufikiria kuitelekeza familia yangu japo mitihani imekuwa mingi nishayavulia nguo wacha niyaogeMkuu wala mimi sija mlaumu, ila nime mpa ushauri hali ikiwa ngumu awa rudishe home ili aji pange kwanza.
Binafsi nime ishi maisha ya aina tatu, kishua, average na hadi choka mbaya na mpaka leo nina experience kubwa juu ya maisha.
Uko sahihi muda mwingine kuweka standard ya juu kwenye maisha, nako ni kamzozo kidogo.
simplifying mambo nayo haimaanishi mambo ni mukide.
hahaha usi mlaumu shemeji yetu, jambo la uzazi ni la familia bwana na si mtu mmoja.
Mkuu wewe ndo mwenye akili acha sisi mburula tukusindikize kwahiyo unahisi hiyo miaka yote walikuwa hawali au unafikiri maisha muda wote yalikuwa magumu hivi huna kipindi unapitia unaona hapa nimekwama kabisa haya bwana mwenye akili endelea kutupa ushauriKila siku nasisitiza ndoa ni kwa watu wenye akili timamu tu.
Huyu kijana hata sijui ni wa mkoa gani aisee maana naona kabisa hapa shida ipo kwenye ubongo wake hivi maisha ya mlo mmoja unapataje nguvu ya kutombana na kuzaana kama simbilisi, Bro hata wanyama mbugani wamekushinda akili hukuti wanazaliana kipindi cha kiangazi/ njaa huzaliana kipindi cha uhakika wa malisho.
Huyu hata mumpe mtaji wa 1M hatatoboa kwasababu akili yake imelala.
Kuna kitu hujakijua kama ungetuliza akili ukasoma stori ukaielewa mpaka mwisho sio unatoa ushauri bila kujua stori mwanzo mwisho mkuuIfikie hatua tuache unafiki tuwe wakweli.
Unapomwaga ndani kila siku unategemea nini zaidi ya mimba?
Na hao watoto unatarajia nani aje kuwahudumia?
Tujipange ili tusiwatese watoto, tunawaumiza sana kwa ujinga wetu