JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

🤔🤔🤔🤔 umeanza shule na umri gani? Age mate wako wa 30s miaka ya 2009 ndo tupo tunaanza chuo kikuu we upo secondary?? Mbona gap la miaka ni kubwa sana....
 
Na wepesi wa maisha hauwezi kupatikana jf kwa kubandika mabandiko ya kutia huruma!
Hakuna anayetia huruma ninachojua binadamu tunazidiana kuanzia maarifa hadi pesa ukiona mtu anatia huruma na ukaona huna cha kumsaidia achana naye tu kaa kimya au ignore kabisa usijione kuwa wewe ndo mtafutaji hodari kuliko wenzio kisa wametia huruma hujui mtu ana hustle vipi tatizo mnachukulia maisha yenu ni kama ya wenzenu yaani kwenu ni kupata tu hamna kupoteza wala kuanguka endelea kumshukuru muumba wako kwahilo yasijekukuta
 
🤔🤔🤔🤔 umeanza shule na umri gani? Age mate wako wa 30s miaka ya 2009 ndo tupo tunaanza chuo kikuu we upo secondary?? Mbona gap la miaka ni kubwa sana....
2009 nilikuwa form 1
 
Nikazani nakutana na maamuzi kumbe ni Epsodes ,Mwanaume ukiwa unataka msaada usi kimbilie kuandika vitu vya kutia tia huruma sanaa asee,
 
Sipendagi kubishana vitu ninavyo weza kuthibiyisha mkuu unakaribishwa nyumbani ukawaone wife na watoto na maisha yetu kiujumla maana siogopagi sijui maswala ya watanionaje sijui sina vitu sinaga habari za aibu
Nimeipenda hii,maana hata mwenye Nia thabiti ya kutaka kukusaidia atakuja kudhibitisha kama ana mashaka
 
Back
Top Bottom