Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe unateseka halafu uwe unanitag unaniogopa?? 😹😹Mkuu kuwa makini humu Kuna madume yanajifanya wanawake example ni kariakoo finest muongeza zero kuwa makini sana yaani sana
mrembo mamboo
Compliments tu jamani kwani mnapenda kila siku msimangwe?? 😂😂😂Haiombwi hivo weweeee
😅Mkuu WhatsApp yangu iligoma kabisa ndio imekubali saa hii nikajua mambo tayari 😂😂😂
Huyo bana yeye kidampa sasa anatuonea wivu kweli mademu, Hana raha kabisa na mimi namtia sukari muda wote.!! 😹😹😹Mkuu mkuuu mkuuu
Pisi kali zipo humu 🤣🤣🤣
Cool down MwananguHuyo bana yeye kidampa sasa anatuonea wivu kweli mademu, Hana raha kabisa na mimi namtia sukari muda wote.!! 😹😹😹
Tena wewe ni dume la mbegu, dume la nyikani, sangatiti halisi, beberu, mwamba.Ila wewe unateseka halafu uwe unanitag unaniogopa?? 😹😹
Mi trouble maker utapata mawenge sana mwaka huu.!!
Okay, tufanye mi dume unaonaje nikikuposa mchuchu?? BRAZA CHOGO naomba uwe mshenga wangu nataka kuvuta jiko hapa.!
We mtu mrefu wwKuna angle makomwe yetu hayaonekani kwa uzuri... 🤣 🤣
😹😹😹 Huyu safari hii naoa na nahakikisha kufika Feb anaanza kula embe mbichiCool down Mwanangu
Tunamjua 😂😂😂😂 sio wa compliment huyo, kuna kitu anatakaCompliments tu jamani kwani mnapenda kila siku msimangwe?? 😂😂😂
Aisee wanaume wenzangu mnapate pm 21 plus au kwakuwa sihudhurii vikao nini?View attachment 3196030
Ona hii ng'ombe
Ulimtafuna!Mkuu mtoto Ana kafungasha🤣Matako matatu nyuma sio poa baba ananyea mbali
😹😹😹Tena wewe ni dume la mbegu, dume la nyikani, sangatiti halisi, beberu, mwamba.
Nimekupa baraka zote za kumchumbia na kumuwowa. 🥱
Aiseee 🤣🤣🤣Tunamjua 😂😂😂😂 sio wa compliment huyo, kuna kitu anataka
Tusichukuliane poa broA
Aisee wanaume wenzangu mnapate pm 21 plus au kwakuwa sihudhurii vikao nini?