JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

not that way!, Mwanamke anavitu vingi so kuamua kuchagua mada moja kwenye hivyo vingi haina maana ni chombo cha starehe!.
Nimesifia wadada wa jf ukute na ndugu zangu pia wapo hivyo nao nawaona kama chombo cha starehe..?!
Ahaa sawa
 
Dah hiyo nayo ni kazi sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nakumbuka hata Mimi kuna kipindi nilikuwa na I'd ya kike nilikuwa nawaendesha sana aisee but at that nilikuwa 25 but today 35+ siwezi kuwa na ujinga kama ule
Kwahyo ulishakuwa wakike ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ