JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

Sasa ulikua unasikia raha kuunga kwamba una kibumbu mkuu🥶
Screenshot_20250108-191412.jpg

Ona hii ng'ombe
 
Si Bado Kuna fikra za watu wanamtazama mwanamke kama chombo Cha starehe pekee. Ukishaanza na uzuri ndo Yale Yale.
not that way!, Mwanamke anavitu vingi so kuamua kuchagua mada moja kwenye hivyo vingi haina maana ni chombo cha starehe!.
Nimesifia wadada wa jf ukute na ndugu zangu pia wapo hivyo nao nawaona kama chombo cha starehe..?!
 
Back
Top Bottom