JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

Si Bado Kuna fikra za watu wanamtazama mwanamke kama chombo Cha starehe pekee. Ukishaanza na uzuri ndo Yale Yale.
not that way!, Mwanamke anavitu vingi so kuamua kuchagua mada moja kwenye hivyo vingi haina maana ni chombo cha starehe!.
Nimesifia wadada wa jf ukute na ndugu zangu pia wapo hivyo nao nawaona kama chombo cha starehe..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…