JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

waifu material kua na watu wanaokujali na kukujulia hali, usiignore wale wanaoonesha kukujali kwa kuhisi wanakusumbua.

Usiweke matarajio sana kwa wale unaotamani wawe karibu nawe maana wanaweza kukuumiza zaidi.

Huu uzi unaashiria hauko salama kwa afya yako ya akili.
Nimejikuta nabubujikwa na machozi baada ya kusoma hii coment😪😪
 
Back
Top Bottom