kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #41
Watajuaje?Watajua tu
Watajuaje?Watajua tu
Yeah! Nadhani wapo baadhi wanafahamianaHa kumbe watu mnajuana
Asante mamyPole mamii
Kumbe tupo wengiSijuani na MTU hapa ndani itakua kimyakimya
Kumbe?Tutajuana tu ondoa shaka... Kanuni za jamiiforum zinasema ni lazima kila member ajuane na member mmoja hadi watano 😊
🤫Tatizo hamsomagi sheria na taratibu za jf... Kama hufahamiani na mtu yeyote humu ukigundulika faini yake ni milioni 3 au kifungo cha miezi 6 😉
Asante kwa ufafanuzi mkuuSio wote wanaojulikana na wenzao humu, wengine hawajulikani, wakifa akaunti zao zitabaki hivyo hivyo bila kuwekwa kitu
Kuna umuhimu wa kufahamiana hata na mtu mmojaMfano hai Mimi apa hamna atakae faham umu JF🥺🥺
Jambo jema, kuna sisi sasa tusiofahamikaMimi kuna member mpk kwangu anapajua so yah....maisha hayahitaji complications sana....
Acha wafu wakazike wafu wenzaoNaomba kufahamishwa kuhusu hili maana nimeona kuna baadhi ya members wenzetu, wamewekewa RIP kwenye profiles zao.
Watu wana madanga na michepuko yao humuNaomba kufahamishwa kuhusu hili maana nimeona kuna baadhi ya members wenzetu, wamewekewa RIP kwenye profiles zao.
pole sana mkuu na kila la kheriNimejikuta nabubujikwa na machozi baada ya kusoma hii coment😪😪
Ndo tujuane sasaJambo jema, kuna sisi sasa tusiofahamika