Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mtu safi hana baya makaveli10
Huyu ni mtetezi na mshauri wa maimamu humu ndani ikiwemo imam Busu la Kenge
Huyu ni mtetezi na mshauri wa maimamu humu ndani ikiwemo imam Busu la Kenge
Jambo jema sana hiloBinafsi nafamiana na watu wawili humu JEIFU,so nikitangulia mimi au wao taarifa itafika tu
Kuhusu habari za Yavuz yakuz😂😂 je?Kuhusu mada za mashujaa wa kislam na mambo yao yote basi Busu la Kenge ni muhusika hivo ukosefu wake utasababisha tikose kabisa hizo nyuzi
Duuub mbona umeniwahi..Kuhusu habari za Yavuz yakuz😂😂 je?
Ukimwi utakuua,, kameze dawaKama comment za hovyo, fujo, ukafiri pamoja na ulaji wa nyama za nguruwe zikikosekana jua kabisa huyu Monetary doctor kadanja....
Mkuu naumwa seriously alafu sema sio ukimwi daaah ...Ukimwi utakuua,, kameze dawa
Utajiju Raha zako wengine hazituhusu, unakulana km kuku kwani inaondoka??Mkuu naumwa seriously alafu sema sio ukimwi daaah ...
Nimekesha nalombana toka juzi
Na mzabzabKama comment za hovyo, fujo, ukafiri pamoja na ulaji wa nyama za nguruwe zikikosekana jua kabisa huyu Monetary doctor kadanja....
Nyuzi zote na comment za kulombana na kunyonya dampo au uvinza...
😂😂😂Nyuzi zote na comment za kulombana na kunyonya dampo au uvinza...
Kama comment hizo zitapungua jua huyu jamaa hayupo
Ngoja nianze kukuchimba na ww nijue unafatiliaga nn 😂😂😂😂
Mbona utaj a mapema Sanaa mkuu, Mimi kujua wewe ndio ngumuNgoja nianze kukuchimba na ww nijue unafatiliaga nn 😂😂😂😂
Daaaah mkuu kuwa na lugha ya staraUtajiju Raha zako wengine hazituhusu, unakulana km kuku kwani inaondoka??
Sstara Linda uanaume wako, ndo stara hiyoDaaaah mkuu kuwa na lugha ya stara