shikamkono01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 699
- 2,132
naomba nichangie kidogo upande wa taasisi za fedha ni kuwa kwakuwa taasisi imesajiriwa ndani ya nchi husika basi pamoja na sera ya kampuni pia itatekeleza sheria za nchi,mfano kwa Tanzania mhusika anapofariki pesa yake kama ipo benki haiwezi kugawiwa kiholela kwani lazima taratibu za mirathi zifanyike ili kuweza kuwatambua warithi ambao ndio watakuwa wanufaika kupitia msimamizi wa mirathi ambaye wanamteua wenyewe na anathibitishwa na mahakama,ni hayo tu!Inamaana members ndo wajuana ndivyo wamaanisha mkuu!!?, Au moderators ndo ujua fulani ka rest,, kwa kuambiwa na mmoja wa members,,naomba waje watwambie tafadhali,kwa ufafanuzi zaidi,mi napenda nijue.
Kwa upande mwingine je kwenye taasisi nyingine ufanyaje, mfano kule kwenye mabenki,mteja akirest ufanyaje,urudishiwa mzigo wake kwa nduguze,familia yake? Nk nk.