Marehemu alipenda vayolensi 😂Inachanguliwa moja zinazobakia mtaona tuu ghafla zimeacha kutangaza biashara, zimeacha kubully watu. Tutabaki tunasema tuu marehemu alikuwa mkorofi sana
Vipi kama huyo member hana hao watu humu?Ni watu wa karibu wanatoa taarifa kwa Uongozi wa JF.
Ndiyo zile account tunaziona na last seen ya miezi au miaka kadhaa bila kuwa active.Vipi kama huyo member hana hao watu humu?
Tatizo hamsomagi sheria na taratibu za jf... Kama hufahamiani na mtu yeyote humu ukigundulika faini yake ni milioni 3 au kifungo cha miezi 6 😉Mbona mimi sijaziona hizo kanuni😂
Girls huwa mnafeli hapo tofauti na baadhi ya sisi Me.Nimejikuta nabubujikwa na machozi baada ya kusoma hii coment😪😪
VizuriNikikata moto aulizwe Atoto!! Atakuwa na taarifa zangu...pale mbele lazima ikae rip
Kama unapumua RIP hiyo ni lazima mkuu haikwepeki.Dhalili za mvua
Wewe unaogopa kufahamiana na watu wa humu.?Hongera kuwa na mtu unaefahamiana naye humu
Inamaana members ndo wajuana ndivyo wamaanisha mkuu!!?, Au moderators ndo ujua fulani ka rest,, kwa kuambiwa na mmoja wa members,,naomba waje watwambie tafadhali,kwa ufafanuzi zaidi,mi napenda nijue.Watu wanajuana humu na hutoa taarifa kwa uongozi wa JF.
Ndio mod's huambiwa na member waliokua wanajuana na marehemu.Inamaana members ndo wajuana ndivyo wamaanisha mkuu!!?, Au moderators ndo ujua fulani ka rest,, kwa kuambiwa na mmoja wa members,,
Hii issue ya Kibenki ngoja waje wajuzi mkuu.naomba waje watwambie tafadhali,kwa ufafanuzi zaidi,mi napenda nijue.
Kwa upande mwingine je kwenye taasisi nyingine ufanyaje, mfano kule kwenye mabenki,mteja akirest ufanyaje,urudishiwa mzigo wake kwa nduguze,familia yake? Nk nk.
Miaka 100 mbele, wote humu sasa hivi, tutakuwa marehemu.
Pole mamiiNimejikuta nabubujikwa na machozi baada ya kusoma hii coment😪😪