2027 i will be no more so worry not
2027 i will be no more so worry not
Wewe umelinda linda lakoSstara Linda uanaume wako, ndo stara hiyo
Yupo humu humuNaomba ule uzi wa jamaa alikuwa anaumwa akaaga hapa jf
Binafsi anijui mtuWatu wanajuana humu na hutoa taarifa kwa uongozi wa JF.
Mbona ume niwazia mbaliKama tukukosa nyuzi za kupika na mapishi kwa ujumla tutajua moja kwa moja Mwachiluwi kasha danja
Basi wewe hapo☺️☺️Yeyote yule ambaye ni mstaarabu kama mimi😅
Watajua tuWatajuaje?
Endelea kuwafahamu mkuu, utakutana na yule ambaye utatamani kumfahamu na hata kumjua😅 muhimu tu usiwe na matarajio makubwa kupitiliza, walioko jf ndio unaopishana nao kwenye mitaa yako.Hapana siogopi kuna baadhi nimefahamiana nao japo sijawahi kuonana nao, na mawasiliano siyo kivile
Mkuu una uhakika huyo unaempeleka kina kirefu anajua kuogelea?Girls huwa mnafeli hapo tofauti na baadhi ya sisi Me.
Mimi awe Ke au Me akinitafuta sitampush ntampa ushirikiano, kila akinicheki nitampa ushirikiano na akaridhika japo mimi kucheki ni ndoto ila akinicheki atafurahi na roho yake.
Ila Ke ni tofauti, ukitafutwa unahisi unatakwa, we mzuri sana, akutafutae ana shobo nyingi nk.
Ondoa hayo mawazo mkuu, wapo wanaokutongoza na kukujulia hali, kutaka muda wako (sio mwili) fanya uwape, usijikweze, wape nafasi. Wapo wengine wana hali kama yako wanakucheki mpeane faraja ila wewe kwa ego unawapush away.
Kama sio introvert wa ukweli basi usijifanye introvert wa mchongo, utateseka mpaka kufa kwako.
Kabisa mkuu, hili suala ni very sensitive,baadhi ya watu humu wanalichukulia kimzaha mzaha,,,lkn ni jambo mhimu sana, napendekeza moderator mmoja ajitokeze na aweke utaratibu.Inasikitisha sana, kuna umuhimu wa kufahamiana na watu wachache waaminifu
Teh teh tehee teehee 😂😂,mi napendekeza watu wajitahidi wawe na id moja very unique,ili kuondoa ueleaji wa account nyinginezo au moderators wazifute,ili zisijaze file pendwa la jf.Inachanguliwa moja zinazobakia mtaona tuu ghafla zimeacha kutangaza biashara, zimeacha kubully watu. Tutabaki tunasema tuu marehemu alikuwa mkorofi sana
Yeah! Ni kweli mkuu, lakini mtaani kwetu hakuna anaetumia JF😂Endelea kuwafahamu mkuu, utakutana na yule ambaye utatamani kumfahamu na hata kumjua😅 muhimu tu usiwe na matarajio makubwa kupitiliza, walioko jf ndio unaopishana nao kwenye mitaa yako.
Duh! Hatari sanaKuna wengine wamewekewa RIP ila tupo nao mtaani
Ninauliza tu nijueVipi kwani unataka kuandika wosia.wako Kwa wana. JF ili wasipate shida?