Jamiiforum itutengenezee kamfumo ka rip in advance lakini itokee badaye mfano baada ya miaka 5, 10,20,30 etcMiaka 100 mbele, wote humu sasa hivi, tutakuwa marehemu.
Jamiiforum itutengenezee kamfumo ka rip in advance lakini itokee badaye mfano baada ya miaka 5, 10,20,30 etcMiaka 100 mbele, wote humu sasa hivi, tutakuwa marehemu.
Bila shaka mkuu.Mkuu una uhakika huyo unaempeleka kina kirefu anajua kuogelea?
Kila la kheri bwashe!Bila shaka mkuu.
Nyuzi za kulombana nakaribia kustaafu 😂 😂Ukiona kuna upunguvu wa nyuzi za kulombana ujue mama angu Binti wa zamani katutoka au rafiki ake nusrat hayupo
Ahaha ndo nani huyo?.😁Bila shaka ni bwashee huyo.
Huyu mshkaji wako mlevi wa gongo.Ahaha ndo nani huyo?.😁
Duuh kumbe nina mshkaji analewa gongo...😄😄😄Huyu mshkaji wako mlevi wa gongo.
Huyo mwenye kilemba/mzula mwekundu.Duuh kumbe nina mshkaji analewa gongo...😄😄😄
Miaka 100 mbele, wote humu sasa hivi, tutakuwa marehemu.
Ngoja nimdukue....mm anaepafahamu kwangu huwa hachangii kabisa popote...ni msomaji tuu😅😅😅😅Huyo mwenye kilemba/mzula mwekundu.
Ahaa sawa, naomba upafahamu kwangu basi na mimi ili nikifa uweke ushahidi kwa faida ya membaz..Ngoja nimdukue....mm anaepafahamu kwangu huwa hachangii kabisa popote...ni msomaji tuu😅😅😅😅
Sawa...usijali...nitalifanyia kaziAhaa sawa, naomba upafahamu kwangu basi na mimi ili nikifa uweke ushahidi kwa faida ya membaz..
😍😍😍 sawa.Sawa...usijali...nitalifanyia kazi
Ha ha ha ha ha unywe zakutosha 😅😅😅Siku nikilewa ntawaandikia😂😂
Usimwamini mtu kabisa hata wewe pia usijiamini sanaKuna umuhimu wa kufahamiana na baadhi ya members waaminifu
Ni mingi, ila nimechukulia mfano member mwenye umri mdogo kabisa humu, na hapo ndio abahatike kufikisha miaka 100+Miaka 100 mbona mingi sana
Unamwachia nani waifu material auNyuzi za kulombana nakaribia kustaafu 😂 😂