kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ka daliliπNaona leo uliamua kuwatembelea Marehemu wa JF.
Kwahiyo rafiki ako Id zote zinapigwa rip au wanachagua moja? πππWatu humu wanajuana ,hivyo wanapewa taarifa.
Moja maarufu zaidiπ€£ nyingine zinaachwa zina elea hewani tuπKwahiyo rafiki ako Id zote zinapigwa rip au wanachagua moja? πππ
Nimejikuta nabubujikwa na machozi baada ya kusoma hii comentπͺπͺwaifu material kua na watu wanaokujali na kukujulia hali, usiignore wale wanaoonesha kukujali kwa kuhisi wanakusumbua.
Usiweke matarajio sana kwa wale unaotamani wawe karibu nawe maana wanaweza kukuumiza zaidi.
Huu uzi unaashiria hauko salama kwa afya yako ya akili.
Oooh! Sawa kumbe asante kunifahamishaWatu humu wanajuana ,hivyo wanapewa taarifa.
ππdah!Naona leo uliamua kuwatembelea Marehemu wa JF.
Mimi nitajuaje sasa mkuuππMfano nikidanja mimi, jamiiforum itapata taarifa zilizothibitishwa kutoka kwa waifu material kisha wataandika kwenye profile yangu
Zimefanyaje mkuu?Dhalili za mvua
Tutajuana tu ondoa shaka... Kanuni za jamiiforum zinasema ni lazima kila member ajuane na member mmoja hadi watano πMimi nitajuaje sasa mkuuππ
Inachanguliwa moja zinazobakia mtaona tuu ghafla zimeacha kutangaza biashara, zimeacha kubully watu. Tutabaki tunasema tuu marehemu alikuwa mkorofi sanaKwahiyo rafiki ako Id zote zinapigwa rip au wanachagua moja? πππ
Mbona mimi sijaziona hizo kanuniπTutajuana tu ondoa shaka... Kanuni za jamiiforum zinasema ni lazima kila member ajuane na member mmoja hadi watano π