Gentleman,Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo
Mnalilia haki kila siku ila ndo wa kwanza kutaka kupora haki za wengine wenye maoni tofauti na yenu. Sisi tutaendelea kusimama na CCM na nyie endeleeni kusimama na chama chenu. Kutaka tupigwe ban ni upuuzi wa hali ya juu sana katika ulimwengu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo
Nilisahau kukuweka kwenye list. Kumbe unajijua kuwa ni mpumbavu. Haya nimekuongeza ujumuike na mazezeta wenzioMnalilia haki kila siku ila ndo wa kwanza kutaka kupora haki za wengine wenye maoni tofauti na yenu. Sisi tutaendelea kusimama na CCM na nyie endeleeni kusimama na chama chenu. Kutaka tupigwe ban ni upuuzi wa hali ya juu sana katika ulimwengu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Kwenye majukwaa ya kisiasa kama hapa Jamiii forum, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga tu.Nilisahau kukuweka kwenye list. Kumbe unajijua kuwa ni mpumbavu. Haya nimekuongeza ujumuike na mazezeta wenzio
kwa alivyo lofa hivyo,Mnalilia haki kila siku ila ndo wa kwanza kutaka kupora haki za wengine wenye maoni tofauti na yenu. Sisi tutaendelea kusimama na CCM na nyie endeleeni kusimama na chama chenu. Kutaka tupigwe ban ni upuuzi wa hali ya juu sana katika ulimwengu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
sasa hapo si ni sawa na kuwahifadhi kwenye library yako salama, akilini na moyoni mwako tu?Kwenye majukwaa ya kisiasa kama hapa Jamiii forum, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga tu.
Kwenye majukwaa kama JF, njia bora ya kukabiliana na hali hiyo bila kujiumiza kichwa ni kutumia zana za kazi kama "Ignore" au "Block" kwa akaunti ambazo unaona hazichangii chochote cha maana kwenye uelewa wako, ili uweze kujiepusha na visokonoko vinavyoshindwa kujenga hoja kwa weledi.
Wewe ni mpuuzi ambaye hujitambui.Nilisahau kukuweka kwenye list. Kumbe unajijua kuwa ni mpumbavu. Haya nimekuongeza ujumuike na mazezeta wenzio
Jina lako tu linasadifu ulivyo mchafu. Mwanaume utajiitaje jina la mwanamke kama sio shogaWewe ni mpuuzi ambaye hujitambui.
Neno shoga limewajaa midomoni mwenu kwa sababu ndo mlivyo.Jina lako tu linasadifu ulivyo mchafu. Mwanaume utajiitaje jina la mwanamke kama sio shoga
Kwa nini unajiita jina la mwanamke wakati wewe umezaliwa mwanaume? Au niulize hivi: kwa nini utamani kuwa mwanamke wakati Mwenyezi Mungu kakuumba mwanaume?Neno shoga limewajaa midomoni mwenu kwa sababu ndo mlivyo.
Ninadhani haya maswali ukimuuliza mama yako mzazi utapata majibu mazuri zaidi. Kimsingi mimi ni baba yako halisi. Nilimtia mama yako mimba nilipomkuta anatoka kilabuni miaka kadhaa iliyopita. Tutapima DNA jumatatu ijayo.Kwa nini unajiita jina la mwanamke wakati wewe umezaliwa mwanaume? Au niulize hivi: kwa nini utamani kuwa mwanamke wakati Mwenyezi Mungu kakuumba mwanaume?
Kwamba mama angu ndio anajua kwa nini unatamani kuwa mwanamkeNinadhani haya maswali ukimuuliza mama yako mzazi utapata majibu mazuri zaidi. Kimsingi mimi ni baba yako halisi. Nilimtia mama yako mimba nilipomkuta anatoka kilabuni miaka kadhaa iliyopita. Tutapima DNA jumatatu ijayo.
Mama yako nilimpa mimba ukazaliwa wewe.Kwamba mama angu ndio anajua kwa nini unatamani kuwa mwanamke
Naunga mkono hoja kwa ni wanachochea hasira kwa watu pengine bila hata ya wao kujuaNawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025
Haya mashetani hayana ubinadamu kabisa. Yanafurahia mauaji ya watanzania. Kwanza inaonekana kama vile hayana hata elimu maana nyuzi yanazoleta ni kichefuchefu kwa dunia iliyostaarabika
Mbona hujibu swali? Umeniambia nikamwulize mama angu, kwa hiyo mama angu anajua sababu inayokufanya utamani kuwa mwanamke?Mama yako nilimpa mimba ukazaliwa wewe.
Wewe kama una nia ya dhati kupata jibu lako nitumie namba yako ya simu PM ili nikutafute tuonane upate majibu yaliyonyooka zaidi. Kinyume na hivyo nitakudharau na kukuona keyboard warrior vilevile shoga kama ulivyojitambulisha.Mbona hujibu swali? Umeniambia nikamwulize mama angu, kwa hiyo mama angu anajua sababu inayokufanya utamani kuwa mwanamke?
Hiki ndicho ninacho kifanya kwa sasa, nikishaona mtu uwezo wake wa kujenga hoja ni hafifu yani badala ya kujenga hoja anani -attack, namu-ignore tu ili niendelee ku-interact na watu wenye akili timamu kwa ajili ya kulinda afya yangu ya akili.Kwenye majukwaa ya kisiasa kama hapa Jamiii forum, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga tu.
Kwenye majukwaa kama JF, njia bora ya kukabiliana na hali hiyo bila kujiumiza kichwa ni kutumia zana za kazi kama "Ignore" au "Block" kwa akaunti ambazo unaona hazichangii chochote cha maana kwenye uelewa wako, ili uweze kujiepusha na visokonoko vinavyoshindwa kujenga hoja kwa weledi.