Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

Mnalilia haki kila siku ila ndo wa kwanza kutaka kupora haki za wengine wenye maoni tofauti na yenu. Sisi tutaendelea kusimama na CCM na nyie endeleeni kusimama na chama chenu. Kutaka tupigwe ban ni upuuzi wa hali ya juu sana katika ulimwengu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Waliotajwa haki haitaki hawana juruma hata kwa marhem waliodhulumiwa uhai wao na Samia na genge lake.
 
Kati ya mimi na wewe nani ni shoga? Wewe jina tu linasadifu kuwa wewe ni shoga. Mwanaume kujiita jina la kike ni ishara ya wazi kabisa kuwa unapenda michezo ya sodoma na gomora. Au tuitishe poll hapa JF, members wa-vote kati ya mimi na wewe nani shoga
Ukiitisha pole huyo pashkuna anapata 98% ya kura zote kama shosti wake alivyojipa kwenye uchafuzi mkuu uliopita.
 
Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025 KERATO MOMBAA Dr wa Manesi
Haya mashetani hayana ubinadamu kabisa. Yanafurahia mauaji ya watanzania. Kwanza inaonekana kama vile hayana hata elimu maana nyuzi yanazoleta ni kichefuchefu kwa dunia iliyostaarabika
Mkuu, kwa heshima na taadhima, naona kama hujawahi kuisoma Katiba yetu ya nchi. Binafsi nawachukia sana machawa, lakini naheshimu maoni yao kwa sababu yanalindwa na katiba. Mtu yeyote anaruhusiwa kutoa maoni yake kikatiba; unachotakiwa wewe ni kupingana naye kwa hoja na siyo kumnyima haki yake ya msingi ya kutoa maoni.
Ili uelewe vizuri, Ibara ya 18 (1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inatamka wazi:

18.-(1) Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.
(2) Kila raia anayo haki ya kutafuta, kupokea na kutoa habari na maarifa kupitia vyombo vya habari, kidijitali au njia nyingine yoyote, bila kujali mipaka ya nchi, na pia anao uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa.
Kikatiba na kidemokrasia, huwezi kumnyima mtu haki ya kuongea kwa sababu tu hupendi anachokisema au kinakuharibia "mood." Kila mwanachama hapa jukwaani ana haki sawa ya kutoa mtazamo wake. Kama unaona maoni yao hayana elimu au yanachefusha dunia iliyostaarabika, dawa yake ni moja tu: pambana na mawazo yao kwa kuleta hoja mbadala zenye nguvu zaidi, na siyo kutaka kuwafunga midomo.

Msingi wa JF umejengwa katika kulinda uhuru wa maoni, mimi naona waachwe watoe maoni yao na tutajadiliana nao kwa hoja.
 
Siasa si kwa ajili ya watu wenye akili ndogo kama wewe.

Lowasa alipokelewa Chadema akapewa na fursa ya kugombea uraisi, Lissu alikaa meza moja na Abdul tena nyumbani kwake, wakapiga story na wakacheka. Leo Heche akikutana na Raisi atamwamkia kwa adabu na heshima.

Siasa haihitaji watu wenye mihemko ya kike.
 
Asipokuelewa hapa basi atakuwa na ujauzito unaokaribia kuharibika.
 
Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025 KERATO MOMBAA Dr wa Manesi
Haya mashetani hayana ubinadamu kabisa. Yanafurahia mauaji ya watanzania. Kwanza inaonekana kama vile hayana hata elimu maana nyuzi yanazoleta ni kichefuchefu kwa dunia iliyostaarabika
Baada ya kuona ummejiunga JF oct 2025..Nikajua ya kuwa wale wale misukule ya Chadomo na Sarungi. Na huwa wanapata buku kwa Kila ubaro wanaoleta hapa
 
Back
Top Bottom