Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Wala siyo kujitesa, ni kulinda afya yako ya akili dhidi ya maudhui ambayo hayaongezi chochote kwenye ubongo wako.sasa hapo si ni sawa na kuwahifadhi kwenye library yako salama, akilini na moyoni mwako tu?
yaani utakua unatembea nao kwenye kifaa unachotumia kuingia JF maisha yako yote. Huko si kujipa kazi ya kukutesa mwenyewe kisaikolojia gentleman?
kila ukichungulia ignore au block list yako unamuona uliemblock, si ndio atakua anakuchefua zaidi?
kazi nyingine bana ni ngumu mno aise, halafu ni za kujitesa zaidi 🤣
Jambo lingine ni kwamba , kuendelea ku-interact na wajinga nawe utaonekana ni mjinga vile vile.
