Jukwaa la watu wenye Akili kubwa nguvu wenye uwezo kuhimili mapigo mazito mazito kutoka upande wa pili
Jukwaa la wenye vipawa na vifua venye utulivu jinsi ya kujibu mapigo
Kama ww ukiona hoja nzito unakimbilia chumbani kulia manake ww ni dhaifu sana
Nikushauri jukwaa ili lengo lake kukutanisha mapambano ya hoja sio kinyume chake!
Jamii forum sio Gazeti la Chadema au CCM wote wamepewa nafasi kutoa maono yao.
Kama ww dhaifu tafuta majukwaa level yako👈
Kiakili kuwablock wenye mawazo kinzan ni Udhaifu mkubwa kutoka kwako🫎🫎
kama ww mwanaume kwanini uwe Dhaifu tena unajiweka wazi Udhaifu wako kumuogopa mwenzio kwa hoja tu hajashika panga wala kisu wala hamuonani 👈
Mwanaume wa kuogopa hoja tu kweli ww utaweza kuandamana mbele ya mtutu
Askari wa Chadema muwe na aibu kidogo👈