Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

Wala siyo kujitesa, ni kulinda afya yako ya akili dhidi ya maudhui ambayo hayaongezi chochote kwenye ubongo wako.

Jambo lingine ni kwamba , kuendelea ku-interact na wajinga nawe utaonekana ni mjinga vile vile.
 
Wala siyo kujitesa, ni kulinda afya yako ya akili dhidi ya maudhui ambayo hayaongezi chochote kwenye ubongo wako.

Jambo lingine ni kwamba , kuendelea ku-interact na wajinga nawe utaonekana ni mjinga vile vile.
Gentleman,
huko ni kua mtumwa binafisi wa kisaikolojia,
lakini pia ni kujipa umuhimu ambao haukusaidii chochote zaidi ya kujipunguzia fursa ya kupata maarifa mapya, mawazo na fikra mbdala zaidi ya uliokuanao kabla.

ni miongoni mwa hatua za kujipunguzia fursa za kuongeza uelewa na ufahamu zaidi kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.

kwakweli ni ubinafsi ambao hauna faida wala maana kabisa gentleman ingawa ni uhuru wako mwenyewe kuchagua aina utumwa
 
Sawa sawa.
 
Wewe kama una nia ya dhati kupata jibu lako nitumie namba yako ya simu PM ili nikutafute tuonane upate majibu yaliyonyooka zaidi. Kinyume na hivyo nitakudharau na kukuona keyboard warrior vilevile shoga kama ulivyojitambulisha.
Kati ya mimi na wewe nani ni shoga? Wewe jina tu linasadifu kuwa wewe ni shoga. Mwanaume kujiita jina la kike ni ishara ya wazi kabisa kuwa unapenda michezo ya sodoma na gomora. Au tuitishe poll hapa JF, members wa-vote kati ya mimi na wewe nani shoga
 
Hizo ndo gharama za demokrasia
Tuwavumilie TU
 
1. JF ni ya watanzania wote wenye mitizamo inayokinzana au kufanana.

2. endelea kutetea chadomoghasia/tecdema yako, acha wengne watetee serikali na ccm

3. kuhusu mauaji mbona safi tu, ulitaka wezi wa simu na vibaka wapewe soseji au? walipewa haki yao na kwa sasa wapo wanaoza kwa raha zao.
-nasikia mlivyopora okt29 vmeisha, mnarudi kutafuta vngne, ageni mama zenu wasijeenda kutia huruma UTV au ITV
-kazi ya kuzuia ugaidi na mapinduzi katika taifa hili ilifanyika vizuri, sema kuna kosa moja limefanyika..(kumuacha mhaini hai)

4. heshima mawazo ya wengne hapa jukwaani, ikikuuma pga "ignore"

"JF siyo ya mama yako hadi kila mtu atii unachotaka"
 
Ndo maana kila siku huwa nasema watz wengi hawajui wanacho pigania bali huwa wanaenda na mkumbo.
Sasa ww unaichukia ccm kwa sababu ya kukandamiza uhuru wa watu kutoa mawazo kinzani na yao ,alafu wakati huo ww hupendi na kuheshimu mawazo kinzani na yako sasa ww na hao ccm mna tofauti gani?
 
Niliwaza hii kitu muda mrefu sanaa sana, ni ujinga kuwa na wapumbavu wanaojadili upumbavu tu humu ndani
 
Mkuu kama wewe ni kidume tuma namba PM nikutafute. Acha maneno mengi
 
Punguza mapovu, mtaweza kweli kuiongoza Tanzania wakati hampendi kupokea mawazo mbadala?.

Tatizo la Gen Z siku zote kushindwa kuziacha hoja zikasomwa na kujadiliwa na watu.
 
Akili iliyokomaa hujenga hoja zilizokamaa, safi sana cocochanel.
 
Wewe nilikusahau. Acha nikuongeze kwenye list ya mazezeta wenzio
 
Kuna mutu nimemusikikia akisema eti na Paskal Mayala! Hi sasa imekua mingi.
 

Chill bro, it's called freedom of expression. Democracy at it's finest, even fools are allowed to express their views.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…