Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

Waliotajwa haki haitaki hawana juruma hata kwa marhem waliodhulumiwa uhai wao na Samia na genge lake.
 
Ukiitisha pole huyo pashkuna anapata 98% ya kura zote kama shosti wake alivyojipa kwenye uchafuzi mkuu uliopita.
 
Mkuu, kwa heshima na taadhima, naona kama hujawahi kuisoma Katiba yetu ya nchi. Binafsi nawachukia sana machawa, lakini naheshimu maoni yao kwa sababu yanalindwa na katiba. Mtu yeyote anaruhusiwa kutoa maoni yake kikatiba; unachotakiwa wewe ni kupingana naye kwa hoja na siyo kumnyima haki yake ya msingi ya kutoa maoni.
Ili uelewe vizuri, Ibara ya 18 (1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inatamka wazi:

Kikatiba na kidemokrasia, huwezi kumnyima mtu haki ya kuongea kwa sababu tu hupendi anachokisema au kinakuharibia "mood." Kila mwanachama hapa jukwaani ana haki sawa ya kutoa mtazamo wake. Kama unaona maoni yao hayana elimu au yanachefusha dunia iliyostaarabika, dawa yake ni moja tu: pambana na mawazo yao kwa kuleta hoja mbadala zenye nguvu zaidi, na siyo kutaka kuwafunga midomo.


 
Msingi wa JF umejengwa katika kulinda uhuru wa maoni, mimi naona waachwe watoe maoni yao na tutajadiliana nao kwa hoja.
 
Siasa si kwa ajili ya watu wenye akili ndogo kama wewe.

Lowasa alipokelewa Chadema akapewa na fursa ya kugombea uraisi, Lissu alikaa meza moja na Abdul tena nyumbani kwake, wakapiga story na wakacheka. Leo Heche akikutana na Raisi atamwamkia kwa adabu na heshima.

Siasa haihitaji watu wenye mihemko ya kike.
 
Asipokuelewa hapa basi atakuwa na ujauzito unaokaribia kuharibika.
 
Baada ya kuona ummejiunga JF oct 2025..Nikajua ya kuwa wale wale misukule ya Chadomo na Sarungi. Na huwa wanapata buku kwa Kila ubaro wanaoleta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…