JamiiForums kila mtu yupo single

Sio kila aliye singo yupo singo wengine ni masingo maza
 
Wengi humu wameoa na kuolewa, mengine ni changamsha genge tuu.... Usichukulie kila kitu serious humu, mwingine aweza kutongoza kumbe ni utani pia!!
 
Sema kweli nimetoa talaka kwa sasa nipo single ila kuwa kwangu single sio kuwa nataka mtu hapana, sitaki pua ya mtu sasa hivi.
 
Bora umesema, hii ipo sana kwa waume na wake pia,
 
Sentensi ya mwisho sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…