kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Watu tuna ,zeeka na wake zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila aliye singo yupo singo wengine ni masingo mazaHabari za weekend
Jaman hebu tupunguze uongo kila mtu anasema yupo single Hana mpenzi.
Wengine mnaishi na wake na waume zenu lakin kutwa kujisifia na kulalamika nimeachwa na mpenzi wangu.
Alafu tabia ya wanaume mliooa kuwa na wivu wakati wa kutongoza mnaitoa wapi eehh hampendi Wadada tuwe na wapenzi kwanini lakin mnakuwa hivyo alafu cha ajabu hata nikikubalia hutanioa muache hiyo tabia.
Wengine kila week anatafuta mchumba love connect mnabana nafasi inaonesha una gundu kuanzia mtaani mpaka huku Jamiiforum mjirekebishe .
Na nyie mnaokataliwa pm kuleta hasira kwenye comment jiandaeni Kwa block tu hamna namna.
Jamanii hakuna mtu anaweza kuwa single La sivyo ni mwanachama wa CHAPUTA.
Usilogwe kwenda kumtongoza.... HutaaminiHahahahaaaaaa!!!!!!!aisee mimi sipo single nina mke humu jf ila sasa hanijui baada ya kuedit username
Yule jamaa siku ile kunipiga mkwala baada ya kukipigia simu alikuwa nani, au ndio unataka kunitoa chambo, ila sijakata tamaa na sasa hivi nitaanza kuitwa Mr. Natafutamimi nipo single jamani.
acha kuniharibia mkuu ulinipigia wapi?Yule jamaa siku ile kunipiga mkwala baada ya kukipigia simu alikuwa nani, au ndio unataka kunitoa chambo, ila sijakata tamaa na sasa hivi nitaanza kuitwa Mr. Natafuta
Hehehe"Single but not alone"
Hehehe umejuaje kama na wewe si mmoja waoWapo mkuu! Wengi tu.
Acha tu, ngoja niendelee kukaza buti, [emoji23]acha kuniharibia mkuu ulinipigia wapi?
Sentensi ya mwisho sio kweliHabari za weekend