Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Uahahahaha you look pretty with a Beautiful soul but you just pretended "don't care" .[emoji26]That why you are not....
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uahahahaha you look pretty with a Beautiful soul but you just pretended "don't care" .[emoji26]That why you are not....
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
hakika..Anything is possible
Am just joking....nilikuelewa sana kuwa watu wanaomba namba ya simu humu JF ESPECIALLY PM,WAKINYIMWA /kukataliwa wanakuja na hasira kwenye comments,pia wanawabania wengine wakati wao wapo married ila wanataka kuwatongoza kina Demiss tuu... i was just joking you kwa kukataa kupewa ur number...Hata sjakuelewa na Ww hujanielewa poooh
Vladimirovich bwana....Uahahahaha you look pretty with a Beautiful soul but you just pretended "don't care" .[emoji26]
Jaman kumbe umeelewa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Am just joking....nilikuelewa sana kuwa watu wanaomba namba ya simu humu JF ESPECIALLY PM,WAKINYIMWA /kukataliwa wanakuja na hasira kwenye comments,pia wanawabania wengine wakati wao wapo married ila wanataka kuwatongoza kina Demiss tuu... i was just joking you kwa kukataa kupewa ur number...
Mmmhh but take it in your mind ,, no matter where the ship is , but she will always need someone strong among millions decided ,committed to care of .Vladimirovich bwana....
A ship is always safe at shore but that is not what it's built for...... [emoji42] [emoji42]
Wapo tena wanakula kabisaHv kuna watu wanatongozana humu? ? Me najua ni changamsha genge tuu
Mkuu, ukipata jibu ebu nistue nami nijaribu bahati yangu....[emoji39] [emoji39]Hv kuna watu wanatongozana humu? ? Me najua ni changamsha genge tuu
Duhhhh....[emoji15] [emoji15]Wapo mkuu! Wengi tu.
Mkuu mwenzio kingereza kilikuja na boat utanipm Kwa kiswahili[emoji3][emoji3][emoji3]Lying about your status isn’t cheating but an indication that it’s being considered or a possibility. Even if you’re not doing anything other than having a conversation with this “someone”, lying about your status equals considering your options and don’t want to block any potential “close” friends or partners.
It’s not fair to that “someone” who you might like and it’s definitely not fair to your partner who isn’t even aware of it.
I am not judging at all, just consider the reasons you want to play single and maybe it’s a good time to re-evaluate your current relationship, make sure it’s what you really want.....[emoji6] [emoji6]
Changamkia fursaDuhhhh....[emoji15] [emoji15]
Kumbe tunapitwa na vingi eeehhhhh...[emoji47] [emoji47]
Mkuu.... naskia humu jf hakuna kuzozana zaidi ya mashara tu...[emoji47] [emoji47]Changamkia fursa
We zubaa tu watu wanafanya kwelMkuu.... naskia humu jf hakuna kuzozana zaidi ya mashara tu...[emoji47] [emoji47]
Tafuta hawa watu wakupe mbinu. Saint Ivuga Daby wako vizuri kwenye mbinu hao watuWanaanzaje mkuu...
Ebu nipe mbinu please