Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
- #41
Ngoja nimcheki kwenye kiotombotela changuDaah umetaja haya majina umenikumbusha mbali saana. Wapi Cheusi Mangala
Ngoja nimcheki kwenye kiotombotela changuDaah umetaja haya majina umenikumbusha mbali saana. Wapi Cheusi Mangala
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake mjini .
Mdogomdogo tumekata 20 yrs na JamiiForums yetu
Hakuna kwako dogo , mbona mimi naziona pisi za moto kibaoWengi humu ni majambazi hakuna pisi za kueleweka kabisa.
Hii ni kufuru kwa kweli.Kende zinaning'inia anaitwa mrembo
Zee jinga kweli lilikua likiombwa mzingo linakubali fresh mda wa meet lina lala mbele 😆😆Sasa ikawaje bwashe , wakati wakula mzigo alikua anaingia mitini au?
Lazima sheria mkononi zilimuhusu sanaUmenikumbusha miaka kumi iliyopita kuna mmoja alikuwa ana hoja nzuri hadi nikatengeneza sura na umbo lake kwenye akili yangu, ila sasa sioni akiwepo humu na hata kama angebadili ID ningemgundua tu.
Hilo ni kiboko ya WakwareZee jinga kweli lilikua likiombwa mzingo linakubali fresh mda wa meet lina lala mbele 😆😆
Sio mjinga bwashee ni mjanja , sasa utaachaje kula kona ukiombwa kibumbu ambacho hauna mangi?Zee jinga kweli lilikua likiombwa mzingo linakubali fresh mda wa meet lina lala mbele 😆😆
AsanteKaribu sana
🤣🤣 uliwalamba ila kulikua na mpango mkakati wa kukuwekea chambo wakutie nguvuni sema ulisanuka mapema boya wewe..Hilo ni kiboko ya Wakware
Mkuu nakaribia mda si mrefu kufikisha miaka 30 ya ndoa, huko sipo lkn haimaanishi siwezi kuwa na mpango wa kando.Lazima sheria mkononi zilimuhusu sana
Aliponea chopli chopliSio mjinga bwashee ni mjanja , sasa utaachaje kula kona ukiombwa kibumbu ambacho hauna mangi?
Mfano nani hapa mbona unaniweka kwenye mtanziko!Hakuna kwako dogo , mbona mimi naziona pisi za moto kibao
Legeza ubongo bwashee😆Yani mkuu watu mmekutana huko, mmeongea ama mmefanya yenu, then uje kutuambia tukisie ni nani ulikutana nae ?
Nchi ngumu sana hii
Jamii forum nimeona vichupa vya maana kuliko hata huko twitter kwa wasimbe , jamii forum ni jiko la warembo wenye akili mingi bwasheeMfano nani hapa mbona unaniweka kwenye mtanziko!
Ndio buji ama🤣🤣
Bwashee umemwandama mzee mwenzetu sana 😅Ndio buji ama🤣🤣