Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
huoni hapo mzee anawahisha mboka bomani😂😂Bwashee umemwandama mzee mwenzetu sana 😅
huoni hapo mzee anawahisha mboka bomani😂😂Bwashee umemwandama mzee mwenzetu sana 😅
Bwashee huenda unazuzuka na hizi sura za mtumba nyuma ya pazia.Jamii forum nimeona vichupa vya maana kuliko hata huko twitter kwa wasimbe , jamii forum ni jiko la warembo wenye akili mingi bwashee
Bwashee tule bia halafu tulegeze ubongo , hawa wazee wetu humu ni uti wa mgongo Bwasheehuoni hapo mzee anawahisha mboka bomani😂😂
Humu kuna pisi kali halafu zina akili , mimi sio mtu wakuzuzuka bwashee , mwenyewe nimezaa watoto pisi kali lichaa ya kuwaona humu tu , unaweza sogea home ila kuna mbwa mkali.Bwashee huenda unazuzuka na hizi sura za mtumba nyuma ya pazia.
🤣🤣 kwa hivyo hio taarifa tuipuuze?Miss Natafuta hana uzuri huo acha kudanganya umma
Umejuaje bwasheeMiss Natafuta hana uzuri huo acha kudanganya umma
Sisi members sio fictitious, ni miongoni mwa wanajamiiUmejuaje bwashee
Sure broSisi members sio fictitious, ni miongoni mwa wanajamii
Unajua bwashee kufuga mbwa siyo mambo mazuri ni mambo yaliyopitwa na wakati ni bora ufuge hata nyau inapendeza, anyway ni maeneo gani unaishi huenda ikawa ni njia yangu napitaga wakati wa kwenda kuchapa maji niwe nakupitia tunaenda kuishi vema na bia zetu!Humu kuna pisi kali halafu zina akili , mimi sio mtu wakuzuzuka bwashee , mwenyewe nimezaa watoto pisi kali lichaa ya kuwaona humu tu , unaweza sogea home ila kuna mbwa mkali.
😄😄 hapa ngoja kwanza nilewe dogo , nilipo mimi wewe hata kuzurura tu na bangi zako za buku mbili hauwezi dogo😊Unajua bwashee kufuga mbwa siyo mambo mazuri ni mambo yaliyopitwa na wakati ni bora ufuge hata nyau inapendeza, anyway ni maeneo gani unaishi huenda ikawa ni njia yangu napitaga wakati wa kwenda kuchapa maji niwe nakupitia tunaenda kuishi vema na bia zetu!
Bwashee huko ni kunishusha hadhi hakuna sehemu sijatimba hapa daslamu.hapa ngoja kwanza nilewe dogo , nilipo mimi wewe hata kuzurura tu na bangi zako za buku mbili hauwezi dogo
Ahaaa mkuu hata kama sina uzuri sio Kwa kunichomea utambi hivo.Miss Natafuta hana uzuri huo acha kudanganya umma
Nilikuwa nachangamsha uzi tu, naona watu wanakuja inbox kujua zaidiAhaaa mkuu hata kama sina uzuri sio Kwa kunichomea utambi hivo.
Uhanga huoIt was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake mjini .
Mdogomdogo tumekata 20 yrs na JamiiForums yetu