JamiiForums Legends of ALL Time

Hivi wewe hukuwa ukibadili majina mara kwa mara?

Nilianza na hili la NN....baadaye nikaja kubadili kuendana na baadhi ya matukio kadha wa kadha ya kidunia na kadhalika na yalipoisha nilikuwa narudi kuwa NN tena.

Na mara zote hizo nilikuwa natuma maombi yangu ya kwa Farida au Mubyazi [Maxence].
 
Sasa povu tena?

Unaposahihishwa, shukuru.

Usikumbatie ujinga.
hehehe ngabu siwezi kukutolea povu buanah
me niliandika kiutani tu....
najua kwenye formal context nisingeacha hiyo "the".
Basi sawa chief. tujenge taifa
 
Nilianza na hili la NN....baadaye nikaja kubadili kuendana na baadhi ya matukio kadha wa kadha ya kidunia na kadhalika.

Na mara zote hizo nilikuwa natuma maombi yangu ya kwa Farida au Mubyazi [Maxence].
Sikumbuki kutuma maombi ila nilibadili user name once around 2010, mpaka leo ninatumia hii hii.
 
hehehe ngabu siwezi kukutolea povu buanah
me niliandika kiutani tu....
najua kwenye formal context nisingeacha hiyo "the".
Basi sawa chief. tujenge taifa

Hivi unaweza kuandika kwa Kiswahili tu bila kuchanganya na Kiingereza?
 
Sikumbuki kutuma maombi ila nilibadili user name once around 2010, mpaka leo ninatumia hii hii.

Umewahi kuwa kiranja [mod] labda?

Manake uwezo huo walikuwa nao viranja na watawala tu, basi.
 
Bht,Nguli, Mkandara,Joka Kuu, FirstLady1,Rutashubanyuma,AfroDenzi,Dena Amsi(RIP),Ashadii,WOS,Nyumbakubwa etc.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…