Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi wewe hukuwa ukibadili majina mara kwa mara?
Nilianza na hili la NN....baadaye nikaja kubadili kuendana na baadhi ya matukio kadha wa kadha ya kidunia na kadhalika na yalipoisha nilikuwa narudi kuwa NN tena.
Na mara zote hizo nilikuwa natuma maombi yangu ya kwa Farida au Mubyazi [Maxence].