Jamiiforums member's party

Huoni kama unatubagua wengine dada? Inamaana hutaki kukutana na wengine zaidi ya hiyo circle yako tu?
 
Kama ikitokea siku hiyo nitajibandika sticker yenye ID yangu Smart911 na mahondaw atabandika yenye ID yake...

Yoyote atakayekuja kwenye, iwe meza au sehemu yetu hakuna kuongeleshana... vuta kiti kula, kunywa ukitosheka sepa...

Maswali peleka kwa spika...
Kujuana peleka vizazi na vifo (Rita)

Cc: mahondaw
 
iihiihihihihi [emoji1] [emoji1][emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Walahi Itakua patashika smart wangu Yaniiiiiiiiii sipati pichaaaa
 
Jamii Forum ya sasa watu wanaogopa kukutana sio sababu ya watu wasiojulikana la hasha ni vile mikogo na majivuno wanayoyatoa kwenye comments lakini kiuhalisia ni masikitiko.

Mtu unayejiamini huwezi kuogopa kukutana na watu ambao mpo mnapiga story humu mbaya zaidi mpo Nchi moja na pengine mji mmoja.

"Ni mtazamo wangu lakini, no Hard feelings"
LoL.
 
iihiihihihihi [emoji1] [emoji1][emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Walahi Itakua patashika smart wangu Yaniiiiiiiiii sipati pichaaaa
Itakuwa nzuri balaa pale tukikutana Mimi ,wewe mahondaw,smart na hearly
Cc hearly
 
Mkuu hzo idiii zote ulizoandika kuna multiple id's kama tano hv, so mtakutana kama watatu hv
 
Hahaa tutaona ile tofauti ya online profile na real face [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa tutaona ile tofauti ya online profile na real face [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha... Usitake watu tukimbiane tehteh...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Wengine Make ups zinatubeba lol


Cc Smart911
 
Mmh. Mdogo wangu.

Haya ni zadi ya makavu ujue. Teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…