Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Hahaha nasikia humu wengi ni zilipendwa sasa si tutakutana na wazee humu una baki unashangaaa heee hichi kibabu cha wapi
 
Tatizo la mahondaw huwa ananipenda sana ila sina pesa ndo maana anajibanza kwa Smart911 . Nami najiweka kwa Mama Sabrina ingawa pesa ya matumizi tunaipata kwa G wake (huwezi kuwa na wivu bila ngawira) sasa mwana CDM atanifaziri niongozane na kipenzi siku hiyo! Upo hapo la Azizi love b ?
Nimekuelewa. Ila ni heri uendelee kujibanza kwa mama Sabrina kuliko kuwavurugia kina Mahondaw na Smart wake
 
Party yetu itakua ya kuonana me u n demiss
Kama ni hivyo sawa hahaha habari ya kwenda kukutana tuanze kuchunguzana,mara heee!uliona lile tege la jolie kama praizi
IMG-20180511-WA0000.jpg
 
Party Nyingine tena ya Jf? i hope watu hamtakimbia tena ila ndio pa kupatiana uchumba wa kweli humo.. sio ma pen pal
 
Back
Top Bottom