Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ninachofahamu kazi zote zinazotumwa na wanachama hapa jamvini ni mali ya JamiiForums.
Kijana wa Kikurya UMUGHAKA ameonyesha kipaji na kipawa cha hali ya juu kwenye uandishi wa riwaya. Lakini hizi kazi zake zinalindwaje dhidi ya maharamia?
UMUGHAKA aelekezwe BASATA na umuhimu wa kusajili kazi zake. Huu ni utajiri mkubwa, hizi hadithi ni tamu mno, zikiingia mikononi mwa maharamia wa kazi za sanaa UMUGHAKA hatopata hata shilingi.
Wanasheria wa hapa jamvini kina Pascal Mayalla hebu msaidieni dogo hata kwa elimu tu